Google PlusRSS FeedEmail

BRITNEY SPEARS AKANA KUPATA MCHUMBA MPYA

                
Mwanamuziki machachari mwenye vituko kila kukicha Britney Spears amekanusha uvumi ambao umenea kuwa amepata mchumba mpya na a meshavalishwa pete…
Mwanamuziki huyo aliyewahi kuolewa zaidi ya mara mbili na kuachika..Akiwa Jijini London akiwa katika harakati za kurecord video yake mpya alikana kuvishwa pete ya uchumba..ndoa ya kwanza ya Britney ilifanyika mnamo January 2004 baada ya kufunga na Jason Alexander katika mji wa Las Vegas Lakini ndoa hiyo ilidumu kwa saa 55 tu…

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging