Google PlusRSS FeedEmail

BAADA YA KUCHEZA VYEMA KATIKA FILAMU YA SINGHAM AJAY DEVGN APANDISHA DAU

  

Mcheza filamu wa Bollywood Ajay Devgn amepandisha dau la kuigiza baada ya kuwa na mafanikio katika filamu ya kutisha ya Singham
Katika filamu hiyo,Ajay ameigiza kama ofisa wa polisi ambaye alikuwa akipambana na rushwa katika mtindo wa kipekee na kufanikiwa ndani ya saa chache..
Chanzo cha habari kimeliambia jarida la Hindustan Times Ajay Devgn ni mmoja wa nyota ambaye anaweza kuungwa mkono katika secta ya filamu kwa sasa
Kwa miaka kadhaa iliyopita ameng’ara kwenye filamu kadhaa kama vile Golmaal 3,All the best,Rajneeeti,Once Upon a Time in Mumbai na zingine nyingi
Ila baada ya kucheza vyema katika Singham ndiyo iliyomfanya Ajay Aaamue kupandisha kiwango cha kuigiza ,,,

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging