Google PlusRSS FeedEmail

CHRISTINA MILAN AZUNGUMZIA MAISHA YA MAPENZI KATI YAKE NA THE DREAMS

   
Wakati ndio kwanza ametimiza miaka 30 tangu kuzaliwa kwake,ameweka bayana kuhusiana na mapenzi kati yake na aliyekuwa mume wake ambaye waliachana mda mfupi mara baada ya ndoa yao.Dream ambaye ni mtayarishaji wa muziki nchini Marekani..
"Naamini nimepata somo kubwa kuhusu mapenzi katika miaka hii ambayo ni niumefikisha kuna wakati nilipenda nisipopendwa na kuna wakati ilitokea nimependwa mimi nikawa sipenzi,najua pande zote kulikuwa na maumivu ilambaya zaidi mimi nilipenda ila sikupendwa nikajikuta nimeingia kwenye ndoa ambayo ikaishia ilipofika kila mtu anajua ,miaka 30 nilitimiza tayari nimekomaa nitajitahidi kutorudia kosa maana sitaki kuumia tena"

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging