Google PlusRSS FeedEmail

LIVE NATION NA UNIVERSAL STUDIO WAWAUNGANISHA JAY-Z NA RIHANNA..

 
Kampuni inayojishugulisha na kazi mbali mbali za wasanii nchini Marekani Live Nation ambayo inamikataba na wasanii kama  Jay-Z,Madonna,U2  imeungana na kampuni ya Universal ambayo ina mikataba na wasanii kama Rihanna ,Kelly Rowland,Ne-Yo na wengine ambao kwa pamoja wataanzisha fursa za mapato ya pamoja na kuunganisha kazi zao pamoja na uuzaji wa show pamoja na uuzaji wa Tiketi za event mbalimbali ambazo watakuwa wakizifanya kwa pamoja..
Rapper Jay-Z Ni mmoja kati ya watu walioshiriki vyema kuibua kipaji cha Rihanna...

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging