
Wakati soko la filamu Tanzania ndio kwanza likianza kupamba moto,ni tofauti na soko la wenzetu kutoka Nollywood,Mcheza filamu wa kike Genevieve Nnaji anatarajiwa kucheza filamu ya pamoja na mcheza filamu toka Hollwood ,na kama atafaninikiwa kucheza filamu hiyo atakuwa mcheza filamu wa kwanza kuiingia katika historia ya Nollwood kucheza filamu huko Hollywood







