Makamua ambaye anatoka katika kundi zima la wakali kwanza,Mara baada ya mahojiano mafupi na Pro-24 Makamua aliweka bayana kama ifuatavyo 'kuna changamoto nyingi katika muziki wa huu wa kizazi kipya,ameweka bayana kwa kusema kimya chake cha sasa kimetokana na kuwa katika masomo ila hawezi kuacha muziki kwa maana muziki ni sehemu ya maisha yake..vilevile aliweza kusema kuwa kuna tofauti kubwa kati wasanii wa Tanzania na wasanii wa Marekani aliweka bayana kwa kutoa mfano msanii toka marekani analipwa pesa nyingi akija nchini kwetu na msanii wa hapa nchini hulipwa pesa kidogo hata kwa ujumla wao hawawezi kufikia japo theluthi ya malipo ya msanii husika..
MAKAMUA AZUNGUMZIA TOFAUTI ZA WASANII TZ NA NJE YA BARA LA AFRICA