
Kwa mujibu wa Jarida la Rolling Stone la Nchini Marekani,limeweka bayana kuwa msanii Mary J Blige anatarajiwa kuzindua albamu yake mpya mwezi November 21 Mwaka huu..
Mwanamama huyo ameipatia jina la My life II .The Journey Continues (Act I)
Albamu hiyo itaendeleza mfululizo wa albamu yake wa kwanza ambayo aliipa jina My Life,ambayo ilitoka mwaka 1994,albamu ambayo ilisheni maisha ya mwanamuziki huyo hasa kuhusiana na minyanyaso katika ndoa yake na jinsi alivyopambana na utumiaji wa madawa ya kulevya..







