Google PlusRSS FeedEmail

MJOMBA MRISHO MPOTO -ASEMA MAVAZI NDIO UTAMBULISHO WAKE

                              
Mwanamuziki Mrisho Mpoto amesema kuwa anaamini mavazi anayoyavaa yanatosha sana kuwa utambulisho wake,na hatarajii kuyabadili katika siku hizi za usoni...
Mpoto ambaye amejizolea umaharufu kutokana na mashairi yake ambayo yamekuwa yakiwagusa watu wa rika zote wakubwa kwa vijana na hata wototo,amesema uvaaji wake unazingatia Mila na Desturi za Mtanzania na hata Mwafrica yoyote ambaye anajali mila na desturi..
Aliongeza kwa Kusema "Unajua watu wengi huwa wanamuuliza kuhusu uvaaji wangu,ni kweli hata ukiniona mtaani mara nyingi ninavaa hivi kama unionavyo,na si kwamba muziki au sanaa kwa uhumla inanifanya nivae hivi hapana ni mimi mwenyewe napenda kuvaa hivi mda wote...

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging