MARC ANTHONY AZUNGUMZIA KILICHOWATENGANISHA YEYE NA ALIYEKUWA MKEWE - JLO
Posted on by Unknown
Ni mda sasa tangu ndoa iliyodumu takribani miaka saba,Marc Anthony ameamua kuweka bayana kuhusu ukweli wa kilichowasibu wanandoa hao kutalikiana,kwa mujibu wa Channel E Marc alisikika akisema,wametalikiana kutoka na mwenzake hakuwa mwaminifu katika ndoa yao,katika maisha ya ndoa yao wamefanikiwa kupata watoto wawili mapacha nao ni Max na Emme.Marc alisikika akisema kwa sasa ataendelea kuwatunza watoto wake wote na kusimamia kazi zake kwa ufanisi zaidi..