Google PlusRSS FeedEmail

Music Legend Sly Stone Homeless And Living In A Van

  
Mwanamuziki gwiji wa Soul , Sylvester Sterwar aka Sly Stone ,ambaye alishawahi kutamba  miaka ya 1960 hadi 1970 anaishi ndani ya gari na hajui hatima ya maisha yake
 Music Legend Sly Stone Homeless And Living In A Van
Kwa mujibu wa Tmz imesema kuwa sly stone 68 ambaye aliwahi kufungwa baada ya kukamatwa  na dawa za kulevya,amepoteza matumaini baada ya kufilisika  kutokana na maisha ya anasa,ulevi na matumizi mabaya ya fedha..Hali ya sly stone aliyewahi kumiliki  jumba la kifahari katika kitongoji cha Beverly Hills,wakati bendi yake ya Sly And The Family Stone,ilipata umaharufu mkubwa na kupanda chati na vibao vyake kikiwemo kibao chake Dance To The Music..

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging