Google PlusRSS FeedEmail

LOVENESS KUACHIA FILAMU

        Loveness Watson
Msanii hadi sasa ameshiriki filamu nyingi kama vile Blood in the City, Sheria mkononi, Penzi la utata, The Game, Uzio wa kuzimu, Kafala ya Damu, Fake Love, Impossible Promise na Dr. Thomas, pia Loveness ni mtayarishaji wa filamu akishirikiana na King Rich Production.
“Katika filamu zangu hii ni nzuri kupita maelezo, na nimetayarisha mwenyewe kwa kushirikiana na ndugu yangu katika kutengeneza, kwa sasa nimejitoa kufanya kazi kwa nguvu zaidi na kwenda mbele katika tasnia ya filamu nyumbani, Dr. Thomas ni filamu ya aina yake,” analonga Love.

Mwanadada anayekuja juu katika tasnia ya filamu Tanzania Loveness Watson anatarajia kuachia filamu mpya inayokwenda kwa jina la Dr. Thomas, filamu hiyo ipo tayari kwa ajili ya kusambazwa na itasambazwa nchi nzima ili kila mpenda filamu waione.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging