
Nyota huyo alichaguliwa kuwa mmoja kati ya majaji wa X- Factor hivyo alijikuta akihangaika kutafuta nguo ambayo ina swaga la pekee
Hayo aliyabainisha baada ya kusifiwa gauni yake iliyokuwa imempendeza na kumfanya kutoka kipekee ndipo alitoboa siri ya kuhangaika kuipata..







