Google PlusRSS FeedEmail

AFTER HEALTH SCARES, RICK ROSS PLANS TO PERFORM

                   
Ikiwa inazidi kuwashangaza wengi Ijumaa Iliyopita Rapper Nguli Rick Ross nae aliangunga akiwa katika ndege ya shirika la ndege la Delta.Mara baada ya kupata matibabu na kubadili ndege.Alianguka kwa mara ya pili akiwa kwenye ndege Binasfi na ilimlazimu Rubani wake kutua katika kitongoji cha Birmingham, Ala. at 7:44PM ET.ambapo mpaka sasa anapata matibabu.Taharifa mpa zinasema Rick Ross hakuweza kushiriki katika tamasha ambayo alialikwa huko North Carolina's Greensboro Coliseum siku ya jana October 16 kutokana na hali yake..

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging