
Usiku wa kuamkia leo Rapper Ton Roc,Alianguka katika club moja ya usiku akiwa katika Stage huko Atlanta,Ni wiki mbili tu zimepita mara baada ya kuhusishwa na kusababisha vurugu na utumiaji wa silaha za moto kinyume na sheria... Kwa Mujibu wa Tmz Mara Rapper huyo kuanguka,alichukuliwa na kukimbizwa katika Hospitali Ndogo ya Karibu na eneo hilo,Habari zinasema kwa sasa hali yake inaendelea vyema..