Msanii Alifazza toka Arachuga amekwisha ingiza album yake sokoni na ina move mtaa kwa mtaa,mkono kwa mkono,album hii ya C2G,ambayo kirefu chake ni cradle to the grave ni Reggae Hiphop fusion na ina jumla ya nyimbo tisa zilizopikwa kiutaalam kabisa ndani ya studio nyingi anzia nairobi hadi nyumbani noizmekah studios,Video inayotambulisha compilation hii ni ya track inayokwenda kwa jina "Dear God" na nyingine zinatarajiwa kuandaliwa kabla ya mwisho wa mwaka huu 2011,"Nashukuru sana kwa support ninayopata kutoka kwa fans wangu wa karibu na mbali,media house websites na blogs zenye posts,tv zinazocheza video yangu na radios zenye audio pia,kikubwa nachoomba ni mwendelezo wa support zaidi na zaidi,pata nyimbo yangu ya CRADLE TO THE GRAVE hapo na video yangu kwenye site ya noizmekah.com ,pamoja in Jah!
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








