
Rapper J Cole amezidi kujipatia umaharufu na fedha nyingi mara baada ya Albamu yake Cole World ,kushika nafasi ya kwanza katika chati za Billboard 200
J ambaye yuko chini Lebo ya Roc ambayo inamilikiwa na Rapper Jay -Z.
Mafanikio ya msanii huyo ni ya kushangaza na yote hiyo ni kutokana na kujituma kwake kwa bidii na ndio imefanya albamu yake kufika nafasi ya kwanza wiki chache tangu kuingia sokoni
"kiukweli juhudi ndio zimenifikisha hapo nina furaha sana na nitahakikisha natoa ngoma kali ili kuongeza mashabiki wa muziki wangu kote Ulimwenguni"







