Google PlusRSS FeedEmail

C- PWAA SINA KINYONGO NA SUMA LEE NIKO TAYARI KUFANYA NAE KAZI

                     
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Ilunga Khalifa C-Pwaa,ameweka bayana yupo tayari kufanya kazi tena na swaiba wake Ismail Sadiki -Suma Lee, Akizungumza na Pro-24 kwa njia ya simu C- Pwaa alisema kwamba pamoja na kutoshirikiana na Suma lee kwada mrefu yeye hana kinyongo nae ,mara baada ya Suma lee kuzungumza maneno ya kejeli juu yake katika mahojiano na kituo kimoja cha Radio. Kwa sasa Suma Lee anatamba na kibao chake Hakunaga ambacho kwa sasa kinafanya vyema katika soko la muziki Tanzania., Kibao hichi kimempandisha tena juu Suma lee \ Aidha Suma Lee aliwahi kutamba na vibao vyake kama Chungwa, Ice Cream ambavyo alivifanya kati ya mwaka 2005 - 2007 vyote akiwa amemshirikisha Noorah. C-Pwaa na suma Lee ni Marafiki wa muda mrefu na walianza muziki pamoja wakiwa na kundi la Parklane ambali makazi yake yalikuwa Tanga..

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging