Google PlusRSS FeedEmail

DIDDY AND T.I. HAVE WORDS AT PARTY IN ATLANTA


              
Beef kati ya T.I na Piddy linachukua sura mpya kutokana na wawili kurushiana maneno makali (walitukanana) hadharani katika klabu moja ya usiku huko Atlanta.Jana usiku, during the B.E.T. Hip Hop awards
Wakali hao wamefunguka misiri ya kutaka kushikana mashati kutokana na kauli zao hizo za kutukanana hata kufikia kuambizana kuwa wamechanganyikiwa kila upande ukiushutumu upange mwingine,
Hali hiyo imetokea hiyo jana katika klabu hiyo ambapo vyombo vya habari vya nchi hiyo vilifunguka baada ya kuwashuhudia wakishutumiana kwa maneno.
Wadadisi wa masuala ya burudani huko Atlanta wanadai kuwa wabishi hao walitukana na kusalimiana vizuri ila kile kinachodaiwa kuwa walipiga maji sanaa. Ulevi Nomaaaaa Ndio ikasababisha ubishani huo

                      

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging