Mkali na mwanzilishi wa Genge Style Kutoka Calif Records amesema anatarajiwa kufunga ndoa mwakani,akifanya mahijiano na pro-24,amaesema kwa sasa anajipanga na kumalizia albamu yake ambayo ameipatia jina Tugange ya jayo,Albamu ambayo itakuwa na jumla ngoma 13,alitaja baadhi ya ngoma ambazo ziko kwenye albamu yake ni kama Baba yao.,kuna shangwe,Tunashukuru ambayo amemshirikisha muimbaji wa nyimbo za injili anayejulikana kama Julian,Track zote amefanya Calif Recors,chini ya producer wake Clemoo,ila kuna ngoma moja kafanya na Shakii wa Mandugu Digital..Wasanii wengine ambao amewataja na ambao amewashirikisha katika albamu yake ni Mejja,Q- Tasii,Na K- Soldier Wote kutoka Calif Records
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








