
Mwigizaji maarufu wa nchini Marekani Johnny Deep,imeelezwa kuwa John aliachana na utumiasi wa pombe wakati bado kijana mdogo,ila kwa sasa ameonekana katika kumbi za starehe akiwa chakari,John alipata umaharufu mkubwa hasa pale alipocheza filamu ya Pirates of Caribbean filamu iliyompatia utajiri mkubwa kutoka na mauzo makubwa ya filamu hiyo.Baadhi ya watu wake wa karibu wamenukuliwa wakisema kuwa jamaa anapokuwa hajapata kilaji huwa ni mtu wa mawazo ila akishapata huwa anaonekana ni mwenye furaha..







