Google PlusRSS FeedEmail

KAZI NI KAZI ILIMRADI MKONO UENDE??????????????

 Lucas Mhuvile Emmanuel MgayaMchekeshaji Mahiri katika tasnia ya vichekesho Lucas Mhuvile aka Joti anasema kuwa anapokuwa kazini anahakikisha kuwa anafanya kazi kwa nguvu zote ili kazi yake iwe bora tofauti na wasanii wengine ambao hujiachie baada ya kuwa na mashabiki wengi, amesema kuwa sera za Ze Komedi Orijino si kuchekesha peke yake bali pale ni kazini, lazima ofisi iheshimiwe anasema Joti.“Kuna watu hawapendi kuambiwa ukweli kuhusu wanachokifanya, wao wanapenda sana sifa ambazo si mali yao, unapokuwa Ze Komedi Orijino ni kazi tu, ndiyo maana Joti unayekutana naye kitaani si Joti wa TBC 1, nikiwa kazini nalima tu, si unajua kuwa mimi ni Jembe, ukiniweka popote nalima Babu, mtoto, nakamua si unajua maisha,” anasema Joti.

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging