Google PlusRSS FeedEmail

KIMYA CHA STOPPER KILIKUWA NA SABABU

Baada ya kimya kingi,msanii wa hiphop toka Arachugga Stopper The Rhymecaa arudi tena,,safari hii akiwa amemshirikisha Q the Don,''Nipo katika hatua za mwisho za kukamilisha video ya ngoma hii,nafurahi sana kwani nimekuta pia na Director wangu Dennis Mallya ndo alikua amemaliza kujipanga upya kabisa kwahiyo watu wangu wakae tu mkao wa kula kwani sijawaangusha'' alisema Stopper,audio ya kazi hii imetengenezwa ndani ya Studio za Mo Records-Mwanza na kideo ni toka Grandmaster Records-Arusha

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging