Mchizi toka Arachuga moja...ni beatmaker na hiphop artist anayeongoza kundi la NOKOZ anapotokea Dmnoko alodrop ngoma ya michezo ya hatari ilosukwa beat na S wa maves ambaye anakuja sasa na nyimbo yake solo project inayoitwa Prisoner..ngoma ilorekodiwa pande za noizmekah studios arusha chini ya producer defxtro..ikiwa ni ngoma ya kwanza anayorekodi mchizi S wa maves,Mc huyu ana mengi kwa mashabiki wa hiphop Tanzania nzima na duniani pia,"Nina ngoma kibao so mafanz wangu wakae tayari tayari kupata pini za ukweli...peace!!
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








