Google PlusRSS FeedEmail

K'NAAN KURECORD THE CATASTROPHIST BONGO

 
Rapper -mwenye asili ya Somalia K'naan anatarajiwa kurecord baadhi ya cine za filamu yake huko Mwanza..Kwa mujibu wa chanzo filamu hiyo imepatiwa jila la The Catastrophist,filamu inayozungumzia mapenzi yaliyotokea mika ya 1990 wakati wa kuondoka kwa utawala wa Ubelgiji Huko nchini Kongo
Imeaminika sababu ya kutenegeneza filamu hiyo Tanzania hasa mkoani Mwanza ni kutokana na uasilia wa mkoa huo wenye mawe mengi mazuri na ya kuvutia machoni..

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging