Google PlusRSS FeedEmail

PRODUCER LAMAH AAUNGANA NA DADA WA DAMU KUTENGENEZA SINGLE YA PAMOJA


Producer ,Model Lamah ambaye ndiye CEO wa Studio za FISH CRAB ameamua kutengeneza Beat ambayo yeye pamoja na dada zake wa damu watashiriki katika kuingiza sauti katika ngoma hiyo mpya,ambayo inatarajiwa kutoka hv karibuni...
"sasa ivi ngoma ipo kwenye hatua za mwisho ila sijajua nitaiachia lini ila lazima iiende katika vituo vya radio ndani ya mwaka huu,kiukweli nimefanya ngoma hii kama kujifurahisha tu maana sio kwamba nataka kuja kuwa msaniii ,na kwa upande wa dada zake amesema na wao pia wanafanya kama kujifurahisha tu hawapo serious na muziki....

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging