
Mwimbaji na nyota wa muziki wa Pop Nicole Scherzinger aliwakosha nyoyo wapenzi wa muziki wake,alipopata mwaliko na kutumbuiza wakati wa ufunguaji wa maduka ya Malls huko Jijini London..
Kinara huyo Pop ambaye ni mmoja kati wasanii waliokuwa wakiunda kundi Pussycat Dolls,Nicole alikuwa kivutio kikubwa katika sherehe hizo na kutumbuiza baadhi ya nyimbo zake zinazotamba kwa sasa Maduka hayo mapya ni kwa ajili ya maandalizi ya michezo ya Olimpiki itakayofanyika jijini London Mwakani







