Harakati za BABA wa Ukoo VOLUME 2 inayotarajiwa kudrop mapema mwakani zinaendelea na Moplus hivi jana amerecord ngoma iendayo kwa jina "Siku nyingi",ambayo amemshirikisha Lavosti toka Vatoloco soldiers,project hiyo imerecodiwa na defxtro pande za arusha,"Mixing ya ngoma inaendelea mdogomdogo na pia Project ya mixtape yangu na JCB ineshafikia ngoma tatu kati ya kumi so namshukuru maulana harakati zangu zinaenda mzuka 2,shout out to ma ungalimi fans & family and kambi tata ma crew!mAfans wazidi kutoa support kwa kurequest ngoma zangu radio,na tv...wiki hii natarajia video ya Xray kutambulishwa katika Tv rasmi,peace
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








