Google PlusRSS FeedEmail

NO NAME KICHWA KUTOKA WEST PASU MOSHI ADONDOSHA

No Name,Mwanaharakati wa game la hiphop anayetokea kaskazini pande za Motown anakuja na single mpya alomshirikisha crewmember mwenzake aneitwa "chozi" na track inakwenda kwa jina la Kitanzi,NoName akiwa ni crewmember wa West Pasu,pamoja na Chozi pia,amezungumzia projects kadhaa za solo ikiwemo hii ngoma yakitanzi ilorekodiwa pande za noizmekah studios a-town,"Crew letu lipo na muziki unasnga kama kawaida na kama taratibu zetu zilivyo,kutoo single tracks mbali na kazi ya kundi ni jambo linalokubalika so mafans we2 wa pande za MoTown na tanzania nzima wapokee kazi after kazi,much love and respect kwa media kwa support inayotolewa!mori mia mia,oooooooiii

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging