Mwalimu na Mama Maria enzi hizoMwalimu na Mama Maria walipomtembelea mama mzazi wa Julius Kambarage Nyerere Mwalimu akiingia kanisa la St. Peters. Alikuwa mcha Mungu sana
Mwalimu akimkumbatia JK baada ya kukubali matokeo ya kura za kuwa mgombea urais wa CCM Mwaka 1995 huko Dodoma Mwalimu akiongea na Mwandishi Freddy Macha walipokutana Rio de Janeiro, Brazil