Google PlusRSS FeedEmail

MR BEEN JUKWAANI KWA MARA NYINGINE TENA

  
Muigiza na mchekeshaji Maarufu kama Mr Been Rowan Atkinson ameamua kurejea latika maigizo ya jukwaani mara baada ya kukaa kando kwa kipindi kirefu.Been ameamua kurudi kuchekesha wapenzi wake ambao wamemiss vituko vyake takribani miaka 20 sasa kwa mujibu wa chanzo alisikika akisema 
Nimeamua kurudi katika maigizo ya ukumbini,kwanza yananipa hamasa kubwa kwa maana natoa kitu mbele ya mashabiki na wanapokea moja kwa moja nikiwa karibu yao,ni takribani miaka 20 sasa ila nawaaidi nitawapa kitu bora zaidi..Been kwa sasa ana umri wa miaka 56..

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging