Jumapili hii Club Maisha Kwa kiingilio cha Sh.5000/=Weusi kampuni,inatambulisha show yao NYEUSI Kwenye stage atakuepo Joh makini,G nako,Lord eyes,Nikki wa pili na Bonta na JCB Huu ni mwanzo wa show za Weusi na wanatarajia kusababisha show nyingine kali pande mbali mbali za TZ stay tunned...WEUSI KUSABABISHA NDANI YA MAISHA CLUB JUMAPILI OCTOBER 30
Jumapili hii Club Maisha Kwa kiingilio cha Sh.5000/=Weusi kampuni,inatambulisha show yao NYEUSI Kwenye stage atakuepo Joh makini,G nako,Lord eyes,Nikki wa pili na Bonta na JCB Huu ni mwanzo wa show za Weusi na wanatarajia kusababisha show nyingine kali pande mbali mbali za TZ stay tunned...






