Google PlusRSS FeedEmail

KICHWA KINAUMA YA CHEGE NA TEMBA NDANI MAISHA CLUB


Wanamuziki wawili Chege na Temba wanatarajia kuonyesha filamu yao ya Kichwa Kinauma kwa muda wa dakika 18, siku ya uzinduzi wa wimbo huo ambao utafanyika katika ukumbi wa New Maisha Club siku ya tarehe 4 jumapili ya mwezi wa kumi na mbili. Wanamuziki hao ambao wimbo huo wa Kichwa Kinauma ambao, wameimba kama kundi la Tmk Wanaume Family lililokuwa kimya si chini ya miaka mitatu.Meneja wa kundi hilo Saidi Fella amesema baada ya uzinduzi huo, tarehe 9 ya mwezi huo huo, watakuwepo kwenye uzinduzi kama huo Mwanza katika club ya Villa Park.

KWAHISANI YA MUDDY BONGO 5

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging