
Rapper Jay -Z na mkewe Beyonce wanatarajiwa kupata mtoto wa kike mapema mwezi wa pili mwakani.kwa mujibu wa Tmz wanandoa hao wako katika furaha kubwa wakiwa na shauku ya kupata binti huyo.Ambaye atakuwa ni mtoto wa kwanza kwa Beyonce.

PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG






