Google PlusRSS FeedEmail

LIZZY ANJORIN NIVIZURI KUWA NA RAFIKI MMOJA NA MSIRI

 Mwigizaji maarufu wa Nigeria Lizzy Anjorin amesema amejipatia umaharufu mkubwa kupitia Tansia hiyo kutokana na kukwepa kuwa na Lundo la marafiki..Aliweka bayana sababu ya kukwepa kuwa na lundo la marafiki limemsaidia kwa kiasi kikubwa watu wengi kutojua undani wa maisha yake halisi.Lizzy amesema kuishi kwake na mmoja imekuwa ikimsaidia kuwa mwenye furaha kwa siri zake nyingi kutotolewa katika vyombo vya habari.unapokuwa na marafiki wengi ni rahisi siri zako kutoka nje.

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging