Google PlusRSS FeedEmail

MARA BAADA YA KUTOKA JELA LIL KIM AJIANDAA KUJA NA KITABU PAMOJA NA DOCUMENTARY YA MAISHA YAKE

Brooklyn, New York Rapper Lil ,ametangaza ' kwamba kwa sasa ameamua kuandika kitabu pamoja na kuandaa Documentary ambazo kwa pamoja itakuwa ikizungumzia maisha yake na ujio wake mara baada ya kutumikia mwaka mmoja jela ..wakati alipokuwa katika mahojiano na  Kay Slay’s Sweeper Radio alisikika akisema.Kitabu kitahusu maisha yake ya kawaida,muziki wake na ujio wake mpya na atahakikisha kitabu hicho kinauzwa kwa bei nafuu ila kila mtu aweze kukisoma.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging