Msanii maharufu Nchini China ambaye anajulikana kama Ai Wei Wei,imelazimika kulipa bond ya $1.3 Ili kuwezesha kusikilizwa kwa kesi inayomkabili ya ukwepaji wa kodi.Ai Weiwei ni msanii ambaye anapingana na selikali ya China.Mara baada ya kuachiliwa huru.Wiki mbili zilizopita alipewa hati ya ukwepaji wa kodi kiasi cha $ 2.4m na mara baada ya mashauriano na polisi wa kodi walimshauri kulipa zaidi ya $ 1.3 ambapo,alikataa kwa maana kama angelipa angekuwa amekubaliana na kesi inayomkabili.Ila mara baada ya kushauriana na wanasheria wake amelipa Bond hiyo ili kuwezesha Rufani kusikilizwa.Washauri wa mambo wanasema kutokana na yeye kuwa na mlengo tofauti na selikali ya Nchi hiyo inasemekana kesi hiyo imekaa kisiasa zaidi ili kumfunga mdomo.
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.