Mbantu,Artist anaetokea pande za hedaru same anakuja na ngoma yake mpya inayoitwa "usikariri" aliyorekodiwa Noizmekah,msanii huyo, anawakilisha sanaa ya kughani,yaani hiphop toka kijiji cha kirangare mpaka duniani kote,anasema"sio kila mzee ana busara zaidi ya vijana, wao viana wenye busara zaidi ya wazee kwahivyo mimi mbantu kutimba noizmekah studios na kuwaasa watu wasikariri maisha ni busara kuliko mzee anayeingia mtaani na kusambaza uongo na busara batili,mashabiki zangu kote nawapenda,naitaji sapoti yenu sana,asante...
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








