
Alihoji, kama Basata inaiogopa TFU kwa sababu watu wake hufanya kazi mpaka Ikulu.“Inashangaza kampuni ambayo inafanya kazi kwa kuvunja sheria, inapata mianya mpaka ya kufika Ikulu na kufanya kazi na mkuu wa nchi bila Basata kukemea,” alisema Sugu.
KWA HISANI YA MH JOSEPH MBILINYI







