Mkongwe wa Tansia ya Filamu Nchini Nigeria Mzee Enebeli Elebuwa ameripotiwa kuwa amelazwa kwa zaidi ya mwezi sasa akipatiwa matibabu,ingawa imeonyesha ameanza kupata nafuu ila bado yuko katika hospitali St Luke iliyopo huko Lagos kwa uchunguzi zaidi.Habari zinaongeza kuwa Kinachomsumbua zaidi ni msongo wa mawazo ,uzito pamoja umri,ila wachambuzi w mambo wanasema hayo yote yametokana na kuwa katika hali ya ukata mkubwa wa kifedha ambao umemsababishia kuwa na msongo wa mawazo
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.