Google PlusRSS FeedEmail

N2N WAKERA MASELA A - TOWN....MAUDHAIFU YA N2N -VATOLOCO TEGEMEO LA HIP HOP ARUSHA

Yasemekana badala ya N2N kushindwa kuiwakilisha Arusha Kimuziki  machizi wa mtaani wamesema kwasasa wamekubali kua mavato kwasababu N2N imesambaratika kutokana na kutofautiana kiarakati,ambapo masela wamesema hawafurahishwi na vitu vifuatavyo kutoka kwa N2N, kuwashobokea mademu na kusababisha kutofanya kazi kikamilifu..Pia wanamkubali IBRA da husla kwani wamesema wana hisi yeye ndiye alikua hip hop kwa sana katika kundi lile wamesema fananisha vato na nako kwa sasa alafu useme nani hip hop? .pia wamesema wanasikitishwa sana na G nako kua mziba kiraka wa Joh makini pindi anapokua kazini na kumfananisha na......."neno limezuiliwa kwaajili ya kupunguza makali". hicho ndio kilio cha masela juu ya nako2nako

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging