Google PlusRSS FeedEmail

SHILOLE AKIMBILIA KATIKA MUZIKI WA MDUARA

Msanii wa Filamu Nchini Zuweza Mohamed almaharufu kwa jina la Shilole,ameamua kugeukia katika uimbaji na tayari ameshatunga na kurekodi wimbo mmoja ambao ameubatiza kwa jina Marijani Lawama.Amesema wimbo huo huvi karibuni ameutengenezea Video na upo katika maadhi ya Mduara,ndani ya wimb huo kawashirikisha wasanii wenzake wa filamu ambao hakutaka kuwataja.Akiongea na pro24 kwa njia ya simu amesema,"napenda sana kuimba muziki ila katika maadhi ya mduara,nimeanza na huo na mashabiki wakae mkao wa kula muda simrefu wataanza kuusikia na kuona katika vituo vya Radio na Television..

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging