Katika filamu yake mpya ya I'll Take My Chances',Mwigizaji Ini Edo Ike ameonesha kuwa anaweza kutengeneza nyota wapya katika fani hiyo ya filamu huko Nollywood.Katika Filamu hiyo ameweza kuwashirikisha aliyekuwa Mke wa Brian Okpara ambaye amepewa uhusika mkuu sambamba na Ini mwenyewe.Pia wamo Ini Ikpe aliyepewa nafasi kubwa kwenye filamu hilo sambamba na chipukizi Magdalene.Watu na wapenzi wa filamu toka huko Nollywood wamempongeza na kufurahishwa kwa kitendo cha Ini Edo cha kuwapa nafasi ya uigizaji wasanii wasio na majina makubwa kama ilivyokuwa katika filamu zake zilizotangulia.Mwanamama huyi bado anasadikiwa kufanya vyema katika kura zinazopigwa katika kinyang'anyiro cha Tunzo za Africa International Film Festival (AFRIFF)
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.