Google PlusRSS FeedEmail

JAZ-Z ATARAJIWA KUFANYA SHOW NA MAPATO YATAKWENDA KUSAIDIA WATU WASIOJIWEZA

Wakati tukiwa tunaelekea ukingoni mwa mwaka 2011 na tukiwa tunajiandaa kupokea mwaka 2012 Rapper Jay Z,ameweka bayana kuwa ameamua kuandaa show nyingi katika kipindi hichi na mapato yatakayopatikana yatakwenda kusaidia watu wasiojiweza.Jay - Z kuna wakati alipunguza kufanya show,kitu ambachi kilianza kulalamikiwa na Baadhi ya mashabiki wake.Amesema mapato ya maonyesho haya yatakwenda moja kwa moja katika kutunisha mfuko wa taasisi yake inajishugulisha na kusaidia watu wasiojiweza inayojulikana kama SHAWN CARTER FOUNDATION 
"Kuna watu wana matatizo makubwa hawana uwezo wa kuyakabili ninadhani sote tunajukumu la kuwasaidia ili watote kwenye hali hiyo nataka kuwatazama watu wa aina hiyo katika kipindi hichi na sivinginevyo."alimalizia Rapper Huyo.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging