Google PlusRSS FeedEmail

RIHANNA AJIFUA KWA SIRI KWA AJILI YA SIKU YA KRISMAS

Mwanamuziki Rihanna anatarajiwa kufanya vitu vya aina yake wakati akisheherekea sikuu ya Krismas.Kwa mujibu wa Boombox,Kupitia kwa waandaji wa Shuguli hiyo wameweka bayana kuwa kwa sasa mwanamama huyo yuko katika mazoezi ya siri huku akijifua ili kuweza kujiweka fiti ili kuweza kukonga nyoyo kwa mashabiki wake ambao anatarajia kuwaburudisha katika siku hiyo  ya Krismas katika club moja ya wacheza nusu uchi jijini New York.Rihanna amekuwa gumzo miongoni mwa mashabiki kutokana na kazi zak kuwa bora licha ya umri wake kuwa bado mdogo lakini pato analoingiza linaonekana kumchanganya kiasi cha kushindwa kufikiri jinsi ya kuzitumia

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging