Google PlusRSS FeedEmail

KAREENA KAPOOR AFAYA VYEMA KWENYE FILAMU YAKE YA HEROINE

Mwigizaji Kareena Kapoor wa huko Bollywood Mumbai India,anatarajiwa kuendelea kufanya vyema katika mauzo ya filamu zake..Mwanamama huyo mpaka sasa anavya vyema katika mauzo hasa kupitia filamu zake kama Bodyguard,Idiots,na Golmaal 3.Mwigizaji huyo kwa sasa anatarajiwa kuingiza sokoni filamu yake inayojulikana kama Heroine.Mwigizaji huyo kwa sasa anatabiriwa kumfikia kimauzo Saif Ali Khan ambaye kwa sasa ndiye anayeongoza kwa mauzo kupitia filamu zake.Akizungumzia filamu ya yake hiyo ya Heroine amesema ametumia muda wake mwingi sana kuiandaa na aliongeza kwa kusema hawezi kusema fiamu yake hiyo ndio bora kuliko filamu zilizopita,kuna wakati msanii anaweza kuamini kazi yake ni bora ila inapofika kwa wadau inaonekana si chochote..

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging