Msanii Kizito ameachia ngoma yake mpya inayokweda kwa jina NINA IMANI YUPO..Kizito amesema wimbo huo ni kwa ajili ya wale wote ambao wamekatishwa tamaa ,swala zima la mapenzi,na kwamba Nina imani yupo,ni ujumbe kwao kuwa Waamini Mungu amewachagulia wao wa maisha..Kizito amesema ngoma yake ya kwanza ambao haukupata mafanikio kama alivyotarajia ambayo ilikwenda kwa jina la Nailamu Dar 'Sasa ameamua kubadilisha style ya muziki wake na kuamia katika maadhi ya Zouk.Aliongeza kwa kusema kuwa Kama ngoma hii itafanya vyema Atajipanga kufanya albamu ila Video ya wimbo huo iko njiani.
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.