Mcheza Filamu kutoka Nollywood Genevieve Nnanji amepoteza nafasi yake kuwa muhusika mkuu kwenye filamu.Nafasi ya Mwanamama huyo Imechukuliwa na Mpinzani wake Omotola Jalade akiwa ni msanii akiwa ndiye msanii mwenye bajeti kubwa kwa sasa katika filamu za huko Nollywood.Filamu hiyo ambayo inaongozwa na Teco Benson Genevieve alikuwa akiongoza mpaka pale aliposafiri kwenda Marekani na kutokana na watengenezaji wa filamu hawakuweza kumsubiri mpaka arudi,walichokifanya waliamua kumbadilisha Omotola ambaye juzi alitarajiwa kuanza kurekodi fimau hiyo
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.