Mwanamama Kim Kardashian ameweka bayana hisia zake na kusema wazi kuwa kuvunjika kwa ndoa yake na aliyekuwa mume wake Kris Humphries,ambayo imedumu kwa takribani miezi mitatu na siku kidogo.(72 days) akihojiwa na Abc,alisikika akisema.."ndoa yangu na mume ilikuwa halali na ilikuwa nzuri sana tulikuwa kwenye furaha mda wote,na sio kweli kwamba ndoa yetu ilikuwa ndoa ya shinikizo tuliamua kwa pamoja kufunga ndoa kwa maana ya mapenzi tuliyokuwa nayo.Katika hili sina cha zaidi ya kupata talaka yangu maana mara baada ya talaka nitakuwa huru na yeye yuko huru ila kwa sasa bado niko katika kifungo kwa maana sijapaatiwa talaka.Alipoulizwa je uko tayari kuipokea talaka alibaki akicheka bila kutoa jibu...
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








