Google PlusRSS FeedEmail

M-LAB WAPELEKA SOKONI SAUTI YA JOGOO YA NIKKI MBISHI

Nikki mbishi anaendelea kufunua chapter moja baada ya nyingine katika kitabu chake cha SAUTI YA JOGOO..safari hii yupo chapter ya 14. NYAKATI ni chapter iliyo maeneo ya katikati ya kitabu hiki cha kusisimua. Original idea ya wimbo huu ulianzia kwa grace matata ukwia umebeba jina hilo hilo alilolitumia nikki. Mbishi anasema katika ngoma zote za grace matata anayoizimikia kupita zote ni hii, na ndio maana ilim inspire na kuamua kuirudia katika version yake na kumuacha grace katika chorus. Kama huna copy ya SAUTI YA JOGOO basi unapaswa kuipata mapema.
Kwa wakazi wa Dare s salaam, maduka ya zezzou fashions, ufishi sinza mori, na Ay commercial yana kitabu hiki cha audio. Kwa wakazi wa mwanza basi fika zai fashions, Arusha etam fashions mtaa wa pangani, iringa unaweza jipatia copy yako country FM kwa bwana steve, Dodoma unaweza jipatia pale photopoint na mbeya inapatikana Jandro stand kuu. Pia SAUTI ya jogoo inapatikana kwenye mitandao mikubwa ya Amazon, iTunes na cdbaby.com...

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging