Msanii wa Filamu Nchini Warda Walid amesema mara baada ya kupata mafanikio katika Tansia ya Filamu nchini,sasa ameamua na ana ndoto za kufanya kazi,na wasanii kutoka Nollywood Nchini Nigeria.na Baadae Marekani.Warda miaka 25,ambaye pia ni mwanamitindo mahiri nchini,amesema "Mpaka sasa nimeshathibitisha kuwa naweza kupata nafasi nyingi za filamu nchini,kwa kuwa producer wengi wamenihitaji katika filamu wanazotengeneza na hayo ni kutokana na uwezo wangu.kwa sasa najipanga kuingia katika soko la Nollywood Nchini Nigeria na Hapo baadae nina ndoto za kucheza filamu Hollywood...
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.